December 15, 2017


Beki Mgahana, Asante Kwasi amesema kuwa wakati dirisha dogo la usajili linafungwa leo, yeye anaona hana ujanja zaidi ya kutua Simba.

Rafiki wa karibu wa Kwasi ameiambia SALEHJEMBE kwamba yeye tayari amekubali kumalizana na Simba.

“Limebaki suala la mkataba na hajui kwa nini Lipuli wanamzuia lakini ana uhakika, amesema atacheza Simba,” alisema.


Beki huyo aliyetokea Mbao FC kutua Lipuli, amezua mjadala mkubwa kwa kuwa Lipuli FC wamekuwa wakipinga yeye kujiunga na Simba wakidai bado ni mchezaji wao

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic