Kocha Joseph Omog amerejea na kuanza majukumu yake ya kukinoa kikosi cha Simba.
Omog alikuwa kwao Cameroon na kukabidhi majukumu yake kwa Masoud Djuma ambaye ni msaidizi wake.
Lakini leo, Omog ameendelea kukinoa kikosi chake katika Uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment