December 28, 2017





Kikosi cha Pemba Kombaini kimeendelea na mazoezi kwenye UWanja wa Gombani yakiwa maandalizi ya mwisho kabla ya kuivaa Zanzibar Heroes katika mechi ya kirafiki.

Mechi hiyo itapigwa kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba na wananchi wataingia bure uwanjani ili kupata nafasi ya kuwaona mashujaa wao waliofanya kweli katika michuano ya Chalenji iliyomalizika hivi karibuni nchini Kenya.

Kikosi cha Pemba Kombaini
Kipa
Othman Haji  (Manyika) Hard Rock SC, Juma Kassim Seif (Chipukizi) na Juma Khatib (Macho Manne FC)

Walinzi;
Assa Ali Rashid (Kizimbani FC) na Abeid Masoud (Chake Boys)
Abas Ali (Mbuyuni FC), Seif Ali (Mkoroshoni FC) na na Masoud mbarouk (Chipukizi FC).


Viungo
Said Hamis Omar (Wawi Star), Musa Makame (Umeme FC)
Mundhir Imani (Chipukizi FC), Ali Khamis Ali (Young-Islander FC),
Shamte Hussein Salim (Hard Rock SC) na Abuu Habib Blanker (Ilander FC).

Washambuliaji;
 Abdallah khamis Khalfan (Dogo Moro FC), Suleiman Nassor Mbarouk (Central) na Nassir Suleiman Bakary (Kizimbani FC).


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic