December 21, 2017



Kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es Salaam kujiandaa na mechi za Kombe la Shirikisho pia Ligi Kuu Bara.

Katika mazoezi hayo ya leo, Kocha Joseph Omog alikuwa akiwasisitiza wachezaji wake suala la umakini na kufanya mambo kwa uhakika.

Omog raia wa Cameroon alikuwa akisisitiza suala la mlinzi kufanya ulinzi wake kwa uhakika, kiungo kusaidia timu kwa uhakika iwe kulinda au kushambulia na washambulizi hali kadhalika kufanya kazi yao inavyotakiwa.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic