December 12, 2017



Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe amerejea na kuanza mazoezi katika kikosi chake.

Tambwe alipewa ruhusa ya kwenda kwao Burundi kushughulikia masuala ya kesi ya ardhi inayomkabiri.

Lakini leo ameungana na wenzake na kureje mazoezini kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kufanya mazoezi na wenzake kwa asilimia mia.


Tambwe ambaye hivi karibuni alikuwa majeruhi amefanya mazoezi yake vizuri kabisa akionekana ameanza kurejea katika kiwango chake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic