December 27, 2017




Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya Macron.
Macron itakuwa ikitengeneza jezi kwa ajili ya timu ya wakubwa, Taifa Stars na zile za wanawake pamoja na vijana.

Rais wa TFF, Wallace Karia amesema mkataba huo utagharimu kitita cha Sh milioni 800 kwa miaka hiyo miwili.

Karia amesema kampuni hiyo itakuwa ikiwatengenezea vifaa mbalimbali vya michezo pia jezi za timu hiyo ya taifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic