December 22, 2017





Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kaimu Mwenyekiti wake, Clement Sanga, leo umetangaza kuteua rasmi Kamati ya mabadiliko.

Wafuatao ndiyo walioteuliwa

1. Alex Mgongolwa -  Mwenyekiti - Mwanasheria

2. Profesa Mgongo Fimbo - Mtaalam wa Katiba na Sheria za Ardhi

3. Meki Sadiki - Mkuu wa Mkoa Mstaafu

4. Mohamed Nyenge - Mchumi na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi na Fedha

5. George Fumbuka -  Mshauri wa Masuala ya Uwekezaji

6. Felix Mlaki - Mchumi na Mtaalam wa Masuala ya Fedha

2 COMMENTS:

  1. Katika kitu huwa nakipenda kwenye mikutano ya Yanga ni hiyo Wallpaper (Cover) ya Matangazo hapo nyuma. Dismas Ten upo vizuri kwenye hili

    ReplyDelete
  2. Katika kitu huwa nakipenda kwenye mikutano ya Yanga ni hiyo Wallpaper (Cover) ya Matangazo hapo nyuma. Dismas Ten upo vizuri kwenye hili

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic