December 27, 2017




Yanga itaondoka keshokutwa Ijumaa kwenda Mwanza kuivaa Mbao FC ya Mwanza.

Yanga italazimika kuondoka na ndege ya kukodi kwenda Mwanza kwa ajili ya mechi hiyo itakayopigwa wikiendi hii, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hussein Nyika amethibitisha.

Awali Yanga ilikuwa iondoke kesho lakini ilishindikana baada ya kutopata tiketi mapema.


Taarifa zinaeleza, Yanga inalazimika kwenda Mwanza Ijumaa baada ya kukosa tiketi za ndege.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic