Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi yake bila ya Kocha George Lwandamina ambaye ilielezwa angeanza kazi leo akiwa amerejea kutoka kwao Zambia.
Awali, ilielezwa, Kocha Lwandamina angewasili nchini jana na leo angeanza kazi ya kukinoa kikosi chake. Hata kocha huyo hakuwepo wakati Yanga ikijifua.
Takribani wiki mbili sasa, Lwandamina alisafiri kwenda kwao Zambia kutokana na masuala ya kifamilia.
0 COMMENTS:
Post a Comment