January 4, 2018


Arsenal na Chelsea zimemaliza mechi yao kwa sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Emirates, London/
Mechi hiyo ya Ligi Kuu England ilikuwa na mvuto mkubwa baada ya mabao yote manne kufungwa katika kipindi cha pili.

Arsenal walianza kufunga kupitia Jack Wilshere lakini Chelsea wakasawazisha kupitia mkwaju wa penalti wa Eden Hazard.

Chelsea walifanikiwa kuongeza kupitia Marco Alonso dakika zikiwa zinayoyoma, beki wa kulia wa Arsenal, Hector Bellerin akasawazisha katika dakika za nyongeza.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic