January 22, 2018


Mashabiki wa Manchester United, sasa wana uhakika wa kumnasa Alexis Sanchez.

Uhakika huo umewafanya mashabiki hao wamkaribishe wakiwa na vipeperushi.

Katika Uwanja wa Old Trafford mashabiki hao wameonekana wenye furaha wakijivunia ujio wa mchezaji huyo akitokea Arsenal ambaye anatarajiwa kutangazwa ndani ya saa 24.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic