January 28, 2018


Lionel Messi amesema kikosi cha BArcelona kwa sasa kimekaa vizuri bila ya Neymar aliyeondoka na kujiunga na PSG ya Ufaransa.

Messi amekubali kwamba baada ya kuondoka kwa Neymar walipata matatizo katika ushambulizi ingawa iliwasaidia katika ulinzi.

“Kulikuwa na tofauti kidogo na ilitusumbua, lakini sasa tumekaa vizuri bila ya kuwa na Neymar,” alisema.


Wakati Neymar akiwa Barcelona, ilikuwa ikiogopeka kwa kuwa na MSN, yaani Messi, Suarez na Neymar.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic