January 30, 2018


Alan Pardew amewapiga bomu amewapiga bao Newcastle na kufanikiwa kumshawishi mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge kujiunga na West Bromwich Albion.

West Brom ilikuwa kimya wakati ikionekana kuwa Sturridge atatua Newcastle. Lakini mwihoni kabisa akajiunga na Wes Brom.


Baada ya kutambulishwa, Sturridge amesema:  “Najisikia furaha na hii ni sehemu sahihi kwangu. Kabla nilizungumza na kocha (Pardew) na mwisho nimefikia uamuzi ambao naming ni sahihi.”


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic