February 4, 2018




Timu ya vijana wenye mafunzo ya Alliance imefanikiwa kupanda Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza.

Ushindi huo umeiwezesha Alliance kufikisha pointi 28 na kushika nafasi ya pili Kundi C nyuma ya Biashara Mara.

Alliance imepata nafasi hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Oljoro.


Kikosi hicho kinachoundwa na vijana wengi kinatokea Mahina jijini Mwanza ambako wachezaji wanacheza na kusoma.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic