HAYA NDIYO MAZOEZI YA MWISHO YA YANGA KABLA YA KUIVAA LIPULI FC KESHO Kikosi cha Yanga kitashuka dimbani kesho kuivaa Iringa FC kwenye Sokoine mjini Iringa. Mechi hiyo itakuwa ni wa Ligi Kuu Bara tayari umekuwa gumzo mjini Iringa na unasubiriwa kwa hamu.
Iringa FC ? ni ipi hiyo? Ipo kwenye Ligi ?
ReplyDeleteSio Iringa Fc ni LIPULI FC na uwanja sio Sokoine ni SAMORA STADIUM....
ReplyDeleteNaona kuna makosa katika uandishin wenu