February 24, 2018


Mkuu wa wilaya Kisarawe, Happines Willium Seneda akionyesha jezi ya mashabiki wa Ruvu Shooting wakati wa uzinduzi wake.

Klabu hiyo ya Ligi Kuu Bara, leo imezindua jezi yake hiyo chini ya udhamini wa Cowbell na uzinduzi huo ulifana na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya watu kwenye makao makuu ya klabu hiyo kwenye uwanja wao wa Mabatini na mambo yalikuwa ni "motoooo". 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic