TASWITA TANO ZA GIROUD AKIWA AMEANZA KUJIFUA "AKAIKOMBOE" CHELSEA Mshabuliaji mpya wa Chelsea, Olivier Giroud ameanza mazoezi akijifua tayari kuanza kuitumikia timu yake mpya. Giroud raia wa Ufaransa amejiunga na Chelsea akitokea Arsenal, zote za London, England.
0 COMMENTS:
Post a Comment