February 24, 2018


Kuelekea fainali ya Carabao Cup kesho February 25 2018, Arsene Wenger amekumbushia namna Pep Guardiola alivyokuja nyumbani kwake akiomba asajiliwe ili ajiunge na Arsenal.

Guardiola ambaye aliwahi kuichezea Barcelona zaidi ya michezo 250, ametajwa na Wenger kuwa alihitaji kujiunga na timu hiyo mwaka 2001.

Wenger atakutana na Pep Guardiola awamu hii akiwa Kocha wa Manchester City, katika fainali ya EFL kwenye Dimba la Wembley.

Licha ya kuzungumzia hilo, Wenger ameeleza kuheshimu pia mchango wake ndani ya manchester City huku akisema ni kijana anayeona mbali na anatambua kipi cha kufanya kuisaidia timu hiyo.

2 COMMENTS:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Arsenal bingwa...kuna makombe ambayo wenger hayawez c saiz yake lakini hilo. Arsenal bingwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic