February 23, 2018


Kikosi cha Yanga kimerejea usiku wa jana na leo kimeendelea na mazoezi asubuhi kujiandaa na Ligi Kuu Bara.

Yanga imerejea kutoka Shelisheli katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushidni wa jumla wa mabao 2-1 dhidi ya St Louis ya Shelisheli.

Yanga imeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Polisi Kilwa jijini Dar es Salaam.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic