March 16, 2018


Wakati Simba wakijifua mjini Port Said huko Misri, wenyeji wao Al Masry SC hawako nyuma kufanya maandalizi kuelekea mechi ya kesho.

Jana jioni Al Masry walifanya mazoezi yao katika Uwanja wa Port Said kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba SC utakaopigwa kesho Uwanjani hapo.

Al Masry wataingia Dimbani wakiwa na faida ya bao moja la ugenini baada ya kwenda sare ya mabao 2-2 jijini Dar es Salaam.

Tazama picha zaidi




 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic