March 16, 2018




Droo ya upangaji wa timu zitakazokutana kwenye hatua ya robo fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya tayari imeshafanyika.

Jumla ya timu 8 zilizokuwa zimefuzu kuingia hatua hiyo tayari kila mmoja ameshapangiwa mwenzake.

Mpangilio huo umekamilika kwa namna hii

Liverpool FC vs Machester City
Barcelona vs AS Roma
Juventus vs Real Madrid
Sevilla vs Bayern Munich

Mechi za mwanzo zitachezwa Aprili 3 mpaka 4 na zitarudiana wiki itakayofuata, Aprili 10 na 11 2018.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic