March 15, 2018


Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Michael Richard Wambura, leo atatolea ufafanuzi kuhusiana na mshataka yanayomkabili ndani ya Shirikisho hilo.

Kwa mujibu wa TFF, Wambura anakibiliwa na makosa matatu, la kwanza ni kupokea fedha za TFF. Pili, malipo yasiyo halali na tatu ni kugushi barua na kushusha hadhi ya TFF.

Blog Saleh Jembe itakuja kukujuza zaidi kipi kitakachokuwa kinaendelea.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic