March 15, 2018





Simba tayari wametua mjini Port Said nchini Misri kwa ajili ya mechi yao ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry.

Simba wametua hapa wakitokea Dar es Salaam kupitia Addis Ababa, Ethiopia.



Kikosi hicho kimeonekana kuwa na uchovu kutokana na safari ndefu na Kocha Pierre Lechantre raia wa Ufaransa ametoa mapumziko kwa vijana wake mara baada ya kupata kifungua kinywa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic