March 28, 2018



Argentina imekiona cha mtema kundi katika mechi ya kirafiki dhidi ya Hispania baada ya kulala kwa mabao 6-1.

Kiungo wa Real Madrid amefunga mabao matatu, hat trick huku nahodha wa Argentina, Lionel Messi akiwa jukwaani akishuhudia kipigo hicho. 
















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic