March 12, 2018



Harry Kane ameanza matibabu ikiwa ni kuangalia alichoumia.

Kane aliyeumia katika mechi dhidi ya Bournemouth alimeifungia Tottenham na England mabao 39 katika michuano yote msimu huu ameonekana akiwa na mpenzi wake Katie huku mguu wake ukiwa umefungwa bandeji ngumu.

Kumekuwa na hofu kuwa atakosa hadi wiki mbili lakini juhudi zinafanyika kuhakikisha anarejea haraka.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 atafanyiwa vipimo zaidi kesho na baada ya hapo suala la matibabu litachukua nafasi yake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic