Yanga itaondoka na msafara wa wachezaji 20 pamoja na viongozi 11 kuelekea Botswana ambapo mchezo huo utapigwa Machi 17 2018.
Katika mechi ya awali iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Yanga ilikubali kichapo cha mabao 2-1, hivyo sasa watalazimika kushinda zaidi ya mabao mawili, iwe 2-0, 3-0 au 4-1 ndiyo wataweza kusonga mbele.
Saleh Jembe Blog inawatakia kila la kheri Yanga kuelekea mchezo huo.








0 COMMENTS:
Post a Comment