Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premieum Lite hataua ya
Nane bora inataraji kuendelea kesho Jumamosi Machi 3,2018 na Jumapili Machi
4,2018.
Jumamosi,Machi
3, 2018
Panama FC vs JKT Queens (Uwanja wa Samora)
Jumapili
Machi 4, 2018
Simba Queens vs Evergreen (Uwanja wa Karume)
Mlandizi vs Kigoma (Uwanja wa Mabatini)
Baobab vs Alliance (Uwanja wa Jamhuri)
0 COMMENTS:
Post a Comment