March 21, 2018



Kocha wa Mnchester United Jose Mourinho, amesema yupo katika mikakati ya kuuza wachezaji nane alionao kwenye kikosi chake.

Sanjari na kuuza, Mourinho atatumia fedha itakayouza wachezaji hao kununua wengine ambao watakaokuwa mbadala ili kuimarisha kikosi chake.

Kwa mujibu wa jarida la The Daily Express, limeeleza wachezaji ambao anawapigia upatu Mourinho ni Marco Verratti (PSG), (Toni Kroos (Real Madrid FC), Toby Alderweireld kutoka Tottenham Hotspuers na Samuel Umtiti anayeichezea FC. Barcelona.

United mpaka sasa ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikiwa imejikusanyia pointi 65 chini ya Manchester City yenye 85.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic