MWAKYEMBE AKARIBISHWA UWANJA WA TAIFA YANGA IKICHUANA NA TOWNSHIP ROLLERS LEO
Uongozi wa klabu ya Yanga umemtangaza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kuwa mgeni rasmi wa mechi ya leo dhidi ya Township Rollers ya Botswana.
Yanga wanacheza dhidi ya Wabotswana hao jioni ya leo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia saa 10 kamili jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment