March 19, 2018


Kikosi cha Simba na viongozi wa timu hiyo, jana wlipata wasaa wa kukutana na Balozi wa Tanzania nchini Misri, Issa Nassor, Nyumbani kwake.

Simba walialikwa na Balozi huyo baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry kumalizika.

Baada ya mwaliko huo kutoka kwa Balozi Nassor, Simba hivi sasa wako njiani kurejea nyumbani, jijini Dar es Salaam.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic