March 12, 2018



Siku ya wanawake duniani ilikuwa bomba sana kwa mshambiliaji kinda wa Manchester United.

Marcus Rashford au “Afande Rashid” aliamua kumpa mama yake zawadi tofauti kabisa tofauti na vijana wengine waliotoa zawadi cha chocolate na kadhalika.

Yeye alitoa zawadi ya tuzo yake ya mchezaji bora wa mechi aliyokabidhiwa wakati Man United “ikitumbua” Liverpool kwa mabao 2-1, yeye akitupia zote.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic