March 12, 2018



Tottenham iko katika hatua za mwisho kuukamilisha uwanja wake mpya wa kisasa ambao utakuwa na uwezo wa kubeba watu 62,000.

Baada ya kukamilika, unaaminika uwanja huo utakuwa kati ya viwanja ghali zaidi nchini Uingereza.

Katika viwango vya viingilio vilivyotolewa zikiwemo tiketi za msimu, zinaifanya timu hiyo pia kuwa na uwanja ghali zaidi kwa maana ya gharama za kuingia.

Spurs inatarajia kuanza kuutumia uwanja huo katika msimu wa 2018-19 na sasa wamekuwa wakitumia Uwanja wa Wembley katika kipindi ambacho ujenzi wa uwanja wao ukiendelea.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic