March 8, 2018




Klabu ya Simba imepata pigo baada ya katibu mukhtasi wake kufariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo.

Julliet alikuwa ni mfanyakazi wa klabu hiyo katika ofisi za makao makuu yake Barabara ya Msimbazi jijini Dar es Salaam.

Msemaji wa Simba, Haji Manara amethibitisha kutokea kwa msiba wa Julliet ambaye inaelezwa alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pumu.

3 COMMENTS:

  1. R.I.P Julliet Mwenyezi Mungu akupumzishe katika ufalme wake mbinguni Amen

    ReplyDelete
  2. Poleni sana wanafamilia ya Julliet na Wana Simba kwa ujumla

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic