March 6, 2018


Na George Mganga

Dakika 45 za kwanza zimemalizika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kwa mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Township Rollars na matokeo ni 1-1.

Rollars walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa mshambuliaji wake Lemponye katika dakika ya 11 na baadaye Chirwa akasawazisha dakika ya 30.

Tazama mabao yote hapa




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic