Na George Mganga
Baadhi ya picha zinazoonesha matukio yaliyotokea leo katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Al Masry SC kutoka Misri.
Mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Tazama picha zaidi kuona namna matukio yalivyokuwa
0 COMMENTS:
Post a Comment