March 15, 2018


Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi jioni ya leo mjini Gaborone, Botswana kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaofanyika Jumamosi hii.




Yanga inajifua ikiwa na kibarua kigumu dhidi ya Township Rollars Jumamosi hii ambapo mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Botswana.

Ikumbukwe mchezo wa awali uliofanyika hapa Dar es Salaam, Yanga walikubali kichapo cha mabao 2-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic