Jumla ya timu 16 zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika zimefuzu kuingia hatua ya makundi, na sasa kinachosubiriwa ni droo ya kupangwa timu zipi zikutane.
![]() |
| TIMU 16 ZILIZOFUZU KUINGIA HATUA YA MAKUNDI, LIGI YA MABINGWA AFRIKA |
Droo hiyo itafanyika mjini Cairo, Misri, Jumatano ya Machi 21 2018.









0 COMMENTS:
Post a Comment