April 3, 2018



Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Kun Aguero, anaweza akakosekana kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya Liverpool kesho.

Aguero anasumbuliwa na majeraha aliyoyapata wiki kadhaa zilizopita na kumfanya akosekane hata mazoezini kwa siku kadhaa.

Taarifa zinaelezwa nyota huyo anaweza akawakosa Liverpool pia usiku wa kesho kutokana na hali yake kutokuimarika vizuri.

Manchester City ina kibarua ugenini cha mkondo wa kwanza dhidi ya Liverpool kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya katika Dimba la Anfield.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic