April 6, 2018




Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imesema adhabu aliyopewa aliyekuwa Makamu Rais wa TFF, Michael Richard Wambura kufungiwa maisha kujihusisha na soka, itaendelea.

Kupitia vifungu mbalimbali, kamati hiyo ya rufaa imetupa zaidi ya vifungu vitano vya malalamiko ya Wambura kupitia wakili wake, Emmanuel Muga Augustine.

Kamati ya Rufaa imeeleza kuona adhabu hiyo ilikuwa sahihi kutokana na kuona Wambura alikuwa na makosa kupitia ushahidi na hoja zilizotoka pande zote mbili.

4 COMMENTS:

  1. Michael Richard Wambura kubali yaishe. Kuna maisha nje ya soka. Ulikuwa Katibu Mkuu wa FAT kabla ya uongozi wa Tenga. Uligoma kukabidhi ofisi! Walianza from zero. Kwenye siasa nako ni hayo hayo. Ujuaji mwingi. Maadui zako ndani ya Simba wamepata mwanya sasa.

    ReplyDelete
  2. Wambura kuna maisha nje ya soka na siasa pia.kwani lazima uwe kiongozi TFF au Simba.Jitafakari kwani muda ukuta na maisha yanaenda kasi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic