April 4, 2018


Mtanzania anayekipiga nchini Ujerumani, Emily Mgeta amerejea uwanjani.

Mgeta anakipiga katika kikosi cha daraja la tano cha VfB Eppingen ambacho alijiunga nacho hivi karibuni akitokea Neckarsulmer .

Hata hivyo hakupata nafasi ya kucheza kutokana na kuwa majeruhi kwa muda mrefu.


Mgeta aliyewahi kukipiga Simba na Polisi Moro, amekaa nje ya uwanja kwa takribani mwaka mmoja baada ya kuvunjika bega.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic