April 5, 2018



Ukimuona Mohamed Salah wa Liverpool ni mtu mpole sana.

Lakini hiyo haijamzuia kupenda anachotaka na yeye huvutiwa na vitu kadhaa lakini moja ya furaha yake, ni magari mazuri.

Salah raia wa Misri ambaye sasa ni kinara wa kufunga mabao Ligi Kuu England anavutiwa na magari ya "juujuu".

Kwa sasa anatumia gari aina Mercedez Benz, moja ya magari yenye heshima kubwa na yenye sifa ya kuitwa ya kifahari.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic