April 5, 2018


Basi lililokuwa limewabeba wachezaji na benchi la ufundi la Man City walikutana na dhoruba baada ya kushambuliwa kwa chupa na mashabiki wa Liverpool.


City walikuwa njiani kwenda Anfield kuwavaa wenyeji wao Liverpool katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Man City ikiwa ugenini ililala kwa kipigo cha mabao 3-0.

Mashabiki hao walivurumisha chupa kama mvua na kuharibu sehemu ya vioo vya basi hilo.

Hakukuwa na majeruhi, watu wa usalama walilazimika kubadilisha njia ambayo basi la wachezaji kawaida hupita na kulipitisha upande mwingine.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic