April 3, 2018



Wachezaji wa kimataifa, Waganda Emmanuel Okwi na Juuko Murushid leo watakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachoivaa Njombe Mji FC.

Murushid na Juuko walisafiri kuelekea nchini kwao Uganda kwa ajili ya kuitumikia timu ya taifa 'The Cranes' katika mechi za kimataifa za kirafiki zilizokuwa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA.

Wachezaji hao tayari walishaungana na wenzao kambini siku kadhaa zilizopita kujiandaa kuikabili Njombe.

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema wachezaji wote wanaendelea vizuri na wapo tayari kwa mchezo isipokuwa kiungo Jonas Mkude aliye kwenye hatihati ya kucheza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic