May 25, 2018


Kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas imeonyesha kiatu ambacho kitavaliwa na mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah, kesho.

Salah raia wa Misri atavaa kiatu hicho wakati Liverpool ikiivaa Real Madrid katika mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Kiatu hicho kinajulikana kama Adidas X18+ ambacho kinaelezwa kuwa na wepesi sahihi na kusaidia kasi ya mtumiaji.



Pamoja na Salah, upande wa Real madrid kiatu hicho kitavaliwa na na Gareth Bale, Marcelo na Karim Benzema.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic