Hii hapa ni orodha ya wachezaji 17 wa kikosi cha Yanga waliosafiri na timu kuelekea Algiers, Algeria kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya U.S.M Alger utakaopigwa Mei 6 2018.
Makipa
1. Youthe Rostand
2. Ramadhani Kabwili
Mabeki
3. Juma Abdul
4. Hassan Kessy
5. Haji Mwinyi
6. Gadiel Michael
7. Pato Ngonyani
8. Vicent Andrew
9. Abdallah Shaibu
4. Hassan Kessy
5. Haji Mwinyi
6. Gadiel Michael
7. Pato Ngonyani
8. Vicent Andrew
9. Abdallah Shaibu
Viungo
10. Said Juma Makapu
11. Raphael Daudi
12. Pius Buswita
13. Yusuph Mhilu
14. Emmanuel Martin
15. Geofrey Mwashiuya
11. Raphael Daudi
12. Pius Buswita
13. Yusuph Mhilu
14. Emmanuel Martin
15. Geofrey Mwashiuya
Washambuliaji
16. Juma Mahadhi
17. Yohana Mkomola
17. Yohana Mkomola
Wakowapi wenginie? Uongozi utakanusha au utasema kutokana na matatizo ya familia au wamepata majaraha.
ReplyDeleteUongozi wa yanga hauko serious na mashindano haya...
ReplyDeleteHii timu imeshindwa kufanya hata usajili wowote?!!!
DeleteMasikini Hajibu kajifisidi mwenyewe kwakufikiria yatakuwa maisha bora na hela tele. Waswahili wamenena usiwache mbachao kwa msala upitao na anaechamba kwingi huondoka na mavi
ReplyDeleteBora wasingeenda, hapo tunasubiri aibu ya kufa mtu na kulichafua jina letu la Tanzania ambalo lilikuwa linaanza kujijenga vizuri!!!
ReplyDeleteWanaenda kushiriki
ReplyDeleteTatizo kubwa katika timu zetu hizi imekuwa ni nidhamu....uongozi wa Yanga kwa muda mrefu umeshindwa kudhibiti suala la nidhamu mpaka imekuwa ka mazoea...mechi muhimu mchezaji anagoma na hakuna hatua zinachukuliwa. Hata kama hamna mishahara, kwann wasiipe umuhimu hii mechi wakacheza. Iwapo hapatakuwa na hatua za kuchukua, ni bora hata hao viongozi wakaiacha club...aibu sana
ReplyDeleteNashauri wale wote waliogoma na hasa Chirwa, watimuliwe mara moja. Msimu unaisha, waondoke. Chirwa tumemchoka.
ReplyDeleteshida sio wachezaji,viongozi wenu sio wakweli,wanafanya vitu kwa hofu ya upinzani badala ya kuwa halisi.
Deleteshida sio wachezaji,viongozi wenu sio wakweli,wanafanya vitu kwa hofu ya upinzani badala ya kuwa halisi.
DeleteWaliobaki wataondoka leo
ReplyDeleteAcha kujifariji kaka, Wamegoma na wamesema hawaendi mpaka kieleweke!
DeleteInauma sana
ReplyDeleteSasa hao mastraika ni wawili tu jee pindi wakiumia nani atakuwa badi? Hakuna aliefikiria hyo?
ReplyDelete