May 27, 2018


Safari ya mechi za Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2017/18 inafikia rasmi kesho Jumatatu kwa jumla ya viwanja nane kutimua vumbi nchini.

Jumla ya mechi hizo ambazo nyingi zitaanza majira ya saa 10 kamili jioni ukiachilia ule wa Yanga dhidi ya Azam FC kuanza saa 10 jioni.


Mechi hizo zitakazopigwa kesho ni kama ifuatavyo;-


Yanga SC vs Azam FC - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam (Saa 2:00 Usiku)


Majimaji FC vs Simba SC - Uwanja wa Majimaji, Songea (Saa 10:00 Jioni)

Ndanda FC vs Stand United - Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara (Saa 10:00 Jioni)

Lipuli vs Kagera Sugar - Uwanja wa Samora, Iringa (Saa 10:00 Jioni)

Tanzania Prisons vs Singida United - Uwanja wa Sokoine, Mbeya (Saa 10:00 Jioni)

Njombe Mji vs Mwadui FC - Uwanja wa Sabasaba, Njombe (Saa 10:00 Jioni)

Mbao FC vs Ruvu Shooting FC - Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza (Saa 10:00 Jioni)

Mtibwa Sugar vs Mbeya City - Uwanja wa Jamhuri, Morogoro (Saa 10:00 Jioni)

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic