Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya tatu mfululizo, Real Madrid wamewasili Hispania na kupokelewa kwa shangwe.
Mabingwa hao wamepokelewa na mashabiki wao katika mji mkuu wa Hispania, Real Madrid.
Madrid iliitwanga Liverpool kwa mabao 3-1 na kubeba kombe hilo kwa mara ya 13.
0 COMMENTS:
Post a Comment