Beki aliyekuwa wa Stand United, Aaron Lulambo (kulia) akijaribu kumdhibiti Laudi Mavugo wa Simba katika moja ya mchi za VPL zilizopita. |
Beki huyo ameamua kuwapiga chenga Yanga ambao inaelezwa walikuwa wakimyatia kwa muda mrefu zaidi kuliko hata KMC ambao wamefanikiwa kunasa saini yake.
Lulambo ameingia KMC na sasa atakuwa anaungana na mkongwe Kipa Juma Kaseja aliyekuwa anaichezea Kagera Sugar na Yusuf Ndikumana aliyekuwa anakipiga Mbao FC.
Yanga wamekwama kupata saini yake kutokana na kuzidiwa kete na KMC, yawezekana pengine dau la fedha limetofautiana na kupelekea kushindwa kukamilisha dili hilo.
Lulambo anakumbukwa kwa kumfunga kipa bora wa Tanzania kwa msimu wa 2017/18 bao la kona ya moja kwa moja wakati wa mchezo dhidi ya Simba uliomalizika kwa sare ya 3-3 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Yanga ingemtaka tusingeshindwa kumpata huyu hakuwa kati ya wanaohitajika
ReplyDeleteHALAFU WEWE MUANDISHI ACHA MAMBO YA KISENG* YANI MCHEZAJI AKIENDA TIMU NYINGINE BASI KAZIDIWA YANGA, HUO NI USHOG* MTU KASAINI KMC YANGA INAINGIAJE FALA WEWE
ReplyDelete