June 20, 2018



Klabu ya Biashara Mara imeanza kazi kujiimarisha kwenye Ligi Kuu Bara kwa kusajili wachezaji watatu kwa mpigo.

Kati ya wachezaji waliosajiliwa ni kipa Balora Nouridine anayetokea nchini Bukinafaso.



Pamoja na kipa huyo, Biashara Mara iliyopanda Ligi Kuu kwa mara ya kwanza, imemsajili kiungo kutoka Nigeria aitwaye Alex Olumide.

Pamoja na hao wawili, imemsajili kiungo Wilfried Kourouma kutoka nchini Guinea na ikamaliza na mshambuliaji Astin Amos raia wa Ivory Coast.


2 COMMENTS:

  1. Okota Okota hii hadi ndondo za kwao watasajili.Sijui Ile kanuni ya mchezaji wa kigeni lazima awe mchezaji wa timu ya Taifa au ligi kuu ya nchi aliyetoka inafuatwa au imeshapotezewa ?

    ReplyDelete
  2. wakimaliza wautengeneze uwanja maana ni mbaya sana yani jukwaa kuu ni mbao kuu kuu hivi vyoo hakuna na miundombinu si rafiki

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic