June 1, 2018


Na Joseph Oima, Nakuru
Kikosi cha JKU cha Zanzibar, nacho kimeanza mazoezi yake ya kwanza kabla ya mechi yao ya kwanza ya michuano ya SportPesa Super Cup, keshokutwa.


JKU watafungia michuano hiyo kwa kuwavaa mabingwa watetezi Gor Mahia ambao wako vizuri.



JKU iliwasili mjini hapa jana ikitokea jijini Dar es Salaam tayari kushiriki michuano hiyo itakayoshirikisha timu nane, nne zikiwa kutoka Tanzania na nne za hapa Kenya. 





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic